Tumia binzari.
Kata vipande ikaushe then saga Iwe poda.
Changanya poda Hy na Maji paka usoni au eneo lenye hizo spots ( kwa mwenye uso usio na Mafuta )
Changanya poda Hy na Mafuta ya Nazi au yoyote Yale yaliyo Katika Hali ya kumiminika ....Paka maeneo yenye spots.( Kwa mwenye uso mkavu ).
Kijiko kimoja Cha unga Binzari kwa kijiko kimoja Cha mafuta au Maji ( Kutegemeana na Asili ya Ngozi yako ).
Paka na subiri ikauke.
Nawa kwa maji ya vuguvugu.
Fanya hivi 5 kwa wiki.