Dawa ya kutibu madoa mashavuni (Melasma)

Dawa ya kutibu madoa mashavuni (Melasma)

leirilwa

Senior Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
118
Reaction score
22
Naombeni sana wanaJF, yeyote anayefahamu dawa ya kuondoa madoa meusi mashavuni known as Melasma anisaidie.

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Hebu tueleze vizur hayo madoa yapoje
Ulizaliwa nayo,umeyapata ukubwan.changanua vizur
madoa yamenipata ukubwani nikiwa na 20yrs ndo yalinianza mpaka leo nina 28yrs nahisi kama chanzo inaweza kuwa effect of sunrise na dr kasema kipind cha ujauzito yanazidi kuwa meusi zaid due to hormonal changes
 
Dah mie pia Nina hyo shda kuanzia 2021-sasa cjapata solution😢 anaejua atusaidie
 
Nami nasubiri wataalamu waje
 
Tumia binzari.
Kata vipande ikaushe then saga Iwe poda.
Changanya poda Hy na Maji paka usoni au eneo lenye hizo spots ( kwa mwenye uso usio na Mafuta )
Changanya poda Hy na Mafuta ya Nazi au yoyote Yale yaliyo Katika Hali ya kumiminika ....Paka maeneo yenye spots.( Kwa mwenye uso mkavu ).

Kijiko kimoja Cha unga Binzari kwa kijiko kimoja Cha mafuta au Maji ( Kutegemeana na Asili ya Ngozi yako ).
Paka na subiri ikauke.
Nawa kwa maji ya vuguvugu.
Fanya hivi 5 kwa wiki.
 
Back
Top Bottom