Utakua umeamkia na viroba vya asubuhi.flakuluteChukua muarobaini,maganda ya miwa,kinyesi cha bata changanya kwa pamoja chemsha,ikichemka weka pembeni tafuta mizizi ya mitiki katakata changanya na unga wa sembe kwa kutumia mafuta ya kula halafu kachanganye kwenye ule mchemsho, utakunywa na kupaka asbh,mchana,jioni ukitamka maneno haya ''naomba mdai hasau'' siku mbili tu,atakukopesha na zingine
kwanini mkuu.? kwa hiyo siyo dawa...?Utakua umeamkia na viroba vya asubuhi.flakulute
Wewe nenda Mbeya tu utaoneshwa.Msigw yupi mkuu yule Wa mbeya au iringa au Wa white hausi
Wee ukitaka kuwapumbaza walipe mara mbili ya wanazo kudai, utapewa hadi shikamoo.Sawa mkuu, ila mm nahtaji kidawa cha kuwapumbaza ..
Chukua muarobaini,maganda ya miwa,kinyesi cha bata changanya kwa pamoja chemsha,ikichemka weka pembeni tafuta mizizi ya mitiki katakata changanya na unga wa sembe kwa kutumia mafuta ya kula halafu kachanganye kwenye ule mchemsho, utakunywa na kupaka asbh,mchana,jioni ukitamka maneno haya ''naomba mdai hasau'' siku mbili tu,atakukopesha na zingine

Wewe unaona mawazo yako ya kutaka kutapeli wenzako ni mada?Umetoka kwenye mada