Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,809
- 40,562
Dawa ya kupunguza unene ipo ?Habari njema kwa wanaume wafupi
Na wanawake wafupi pia....Habari njema kwa wanaume wafupi
kwani wewe ni mtu mnono?Dawa ya kupunguza unene ipo ?
Punguza kulaDawa ya kupunguza unene ipo ?
Wanawake sio wahanga sanaNa wanawake wafupi pia....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]we jamaa wewe. Wahusika wakipita hapa hapatokalika.[emoji125][emoji125]Ukiwa mfupi hakuna ujanja, urefu sio kama matako yanaongezwa.
Ndo wahanga namba moja...maana unakuta mwanamke mfupi lakini anawachukia wanaume wafupi(anapenda wanaume warefu)...upande wetu kama mwanaume ni mfupi ni nadra kumchukia mwanamke mfupiWanawake sio wahanga sana
Acha kutapeli watu wachina ndiyo yenye watu wafupi wangi zaidi kwanini wasipeleke kwaoWachina hawashindwi jambo.
Nimeiona hii dawa TZS 3,746.21 40%OFF | New Famous Brand Height Increasing Oil Medicine Body Grow Taller Essential Oil Foot Health Care Products Promot Bone Growth
1.63US $ 40% OFF|Neue Berühmte Marke Höhe Zunehmende Öl Medizin Körper Wachsen Größer Ätherisches Öl Fuß Gesundheit Pflege Produkte Promot Knochen Wachstum| | - AliExpress
Smarter Shopping, Better Living! Aliexpress.coms.click.aliexpress.com
View attachment 1148076
Ukweli kabisaNdo wahanga namba moja...maana unakuta mwanamke mfupi lakini anawachukia wanaume wafupi(anapenda wanaume warefu)...upande wetu kama mwanaume ni mfupi ni nadra kumchukia mwanamke mfupi
Mkuu natapeli watu vipi? Embu tulia acha mihemko mimi siuzi hiyo dawa ila nimeiona huko alliexpress nikaona ngoja nilete huku labda kuna wenye uhitaji wanaweza kufatilia.Acha kutapeli watu wachina ndiyo yenye watu wafupi wangi zaidi kwanini wasipeleke kwao
Mpendwa nakusalimu.Ukweli kabisa
Hahahaha tabia mbayaUkiwa mfupi hakuna ujanja, urefu sio kama matako yanaongezwa.
Salama mpendwa?VIP wewe mrefu au mfupi?Mpendwa nakusalimu.
Hivi kwa nini wafupi wanakuwaga wanene[emoji1787][emoji1787][emoji1787]we jamaa wewe. Wahusika wakipita hapa hapatokalika.[emoji125][emoji125]