>HII DAWA NI KWELI IPO LAKINI SI KWA ADULT.
>Inachokifanya ni kustimulate pituitaly and thyroid gland zizarishe growth hormone iitwayo 'somatrophic hormone'
>Kwa watoto husaidia kurefuka kama wanavyo dai
>Lakini kwa watu wazima usababisha tatizo la 'acromegally'
yaani mtu harefuki ila baadhi ya viungo vyake vinaongezeka unene na upana
mf😛ua kuwa kubwa,miguu na mikono kuwa mipana, n.k
So MTU MZIMA HUSIJISUMBUE.