Hapa ni jukwaa la matangazo madogomadogo. Sidhani kama kuna wataalam wengi wa afya wanapita huku kama kule kwenye jukwaa la afya(JF Doctor).
Nenda kule ila jieleze vizuri.
Umekipata kipara na mvi katika umri mdogo au ?
una stress sana?
baba/babu alikuwa na kipara?
na mengineyo
Humu JF, ukiomba msaada au ushauri wa kiafya, kisheria au kiuchumi ni wachache sana watakujibu na kukupa ushauri wa maana. Wengi humu wamegeuka kuwa Wataalam wa Siasa na mambo ya Mapenzi tu. Ukitaka kuthibitisha hili, post thread ya Siasa/Mapenzi humu na nyingine ya kuomba msaada wa kisheria/kiafya halafu ulinganishe response rate! Ndio maana nikakuambia waulize wahusika ndio wanaweza kukujibu vizuri zaidi kuliko ma-great thinkers wa Siasa na Mapenzi!