dudupori JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 1,795 Reaction score 1,923 Nov 10, 2012 #1 Jamaa mmoja alienda kwa mganga ili mpododo wake usimame. Mganga akamwandikia wimbo wa Taifa akampa! Jamaa akauliza sa hi ndo dawa? Mganga akajibu we ***** nn? Wimbo wa taifa unamsimamisha hadi Rais wa nchi, itakuwa hicho ki*boo chako!?
Jamaa mmoja alienda kwa mganga ili mpododo wake usimame. Mganga akamwandikia wimbo wa Taifa akampa! Jamaa akauliza sa hi ndo dawa? Mganga akajibu we ***** nn? Wimbo wa taifa unamsimamisha hadi Rais wa nchi, itakuwa hicho ki*boo chako!?
M MR. ABLE JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,480 Reaction score 946 Nov 10, 2012 #2 wala haichekeshi.
Neylu JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 2,938 Reaction score 1,848 Nov 10, 2012 #4 SAUDARI said: wala haichekeshi. Click to expand... Si unyamaze kama haijakuchekesha..!