Steven Masele
Member
- Jun 15, 2025
- 6
- 12
Wadau habarini,
Mimi nilioa mke akafuata ya Dunia starehe nilimtoa kijijini alitoka na vitu ving ikiwemo mimi kupata hasara na kuathirika kisaikolojia kwa muda mrefu. Nilirudi nyuma kimaendeleo.
Nimekaa miaka miwili kamili nikapata mwenza mwingine na kuamua kumwoa.
Mwenza huyu wa pili yaani mke alinidanganya kuwa aliolewa mara moja pia ana watoto wawili kumbe ndani ya ndoa alirekebisha usemi huo na kudai ana watoto watatu na aliolewa mara mbili.
Changamoto ni kwamba anapenda kulalamika muda wote, hana aibu kwa watu anaongea sauti ya juu na kupanic mara kwa mara yaani karibia kila siku lazima maudhi.
Niliondoka kwenda safari kidogo mwezi huu uliopita June akahama nyumbn kwangu na vitu vya ndani vyombo sola betri ya sola n.k
Mwenye nyumba akamfuma na kutia koful kabla hajamaliza kila kitu.
Kinaniuma sana kitendo hicho cha kuchukua vitu ndani bila sababu za msingi Naombeni mniambie mnaojua dawa kali ya kienyeji ambayo mwanamke nimtakae lazima akubali na asiweze kunitoka labda nimwache mimi.