Dawa ya kumkamata na kumgandisha mchawi

Dawa ya kumkamata na kumgandisha mchawi

LAMBOFGOD

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2016
Posts
1,561
Reaction score
1,320
Ndugu wanajf tafadhari naomba mwenye ujuzi wa mambo haya anisaidie dawa, maana kuna watu huku mtaani wanataka tuwaogepe kama na wao wanaishi magogoni kumbe wasikini watupu wamejaa chuki, fitna, husuda na laana.

Kwa sasa nataka dawa ya kuwakata na kuwagandisha till morning na wakinichezea siwagandui hadi wa rest in peace silently bila kubugudhiana nao, binafsi nimechoka kwa matendo yao ya kuwanga usiku na kuloga ardhi daily
 
Write your reply...
kuwa macho usiku,fuga mbwa andaa bakora ukimkAmata piga viboko hadi akamuonyeshe mkewe
 
Ndugu wanajf tafadhari naomba mwenye ujuzi wa mambo haya anisaidie dawa, maana kuna watu huku mtaani wanataka tuwaogepe kama na wao wanaishi magogoni kumbe wasikini watupu wamejaa chuki, fitna, husuda na laana. Kwa sasa nataka dawa ya kuwakata na kuwagandisha till morning na wakinichezea siwagandui hadi wa rest in peace silently bila kubugudhiana nao, binafsi nimechoka kwa matendo yao ya kuwanga usiku na kuloga ardhi daily
Pole Sana ndugu, halafu unaiita LAMBOFGOD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo unakaa wapi ? Kama ni Tandika kigogo au Mwananyamala ulitegemea nini ? Njoo Goba uishi kwa amani.
 
Mkuu nakushauri kuwa huwezi kushindana na mchawi na ukashinda, mchawi na uchawi ni taasisi kubwa,ambayo huanzia ngazi ya kitongoji,mtaaa/Kijiji,kata,tarafa,wilaya,mkoa,kanda,kitaifa na kimataifa.hivyo mchawi akishindwa kukushughulikia katika ngazi ya mtaa anaenda ngazi ya kata ambako kuna wataaalamu zaidi yake, amini lazima atakunasa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom