Trice Sturmius
Member
- Sep 8, 2011
- 41
- 3
Toka Nchi gani? Toa full data kwn wengine tuko mbali.
inatoka china?
Daah siku hizi alovera ka muarobaini, kila kitu kimetengenezwa kwa aloverainatoka USA na imetengenezewa mmea wa Alovera.
utapiamlo pia unadumaza nywele...lolNywele zinakuzwa na mengi sio dawa tu.
utapiamlo pia unadumaza nywele...lol
Kwa hiyo lishe tu yaweza tosha kurutubisha kipilipili