dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,594
- 60,800
hahahahaHautaki kuingia kwenye kundi la waliwa nauli? Acha asili ichukue mkondo wake mkuu, sio lazima iwe Leo, siku hazijaisha bado. Kuna nafasi siku ingine pia.
hahahahaHautaki kuingia kwenye kundi la waliwa nauli? Acha asili ichukue mkondo wake mkuu, sio lazima iwe Leo, siku hazijaisha bado. Kuna nafasi siku ingine pia.
Dem wako, mwanaume hawezi kuwa na urafiki na mwanamke atamla tuuMimi ni Me ,anaehitaji kutumia dawa ni rafiki yangu wa kike
Sa si uvumilie hadi amalize?Mimi ni Me ,anaehitaji kutumia dawa ni rafiki yangu wa kike
Sa si uvumilie hadi amalize?
Dem wako, mwanaume hawezi kuwa na urafiki na mwanamke atamla tuu
Why akate period ni kwamba amepata prolonged menstrual bleeding au ana mambo yake mengine...Kama ana Prolonged menstrual bleeding exceeding 7 days sawa ila kama anataka kuizuia Tu sio njema sana inaweza kuleta shida nyingine mambo yakawa ndivyo sivyoHellow doctors?
Nauliza dawa Gani inakata period ndani ya muda mfupi?
Thanks in advance
Jamaa kazidiwa 😅Nimeshamwambia hata kama katuma nauli au ameisafiria, awe mpole tu. Bila shaka ataelewa.
Ila sie wanaume wakati mwingine akili zetu Bora hata Mandoka
Jamaa kazidiwa 😅
Kama ni suala la mshituko na kupata period, basi iache itakata yenyewe.Hapana sio period ya kawaida,kapata mshituko ghafura,imetokea nje ya kalenda yake
Ili iweje!?Mimi ni Me ,anaehitaji kutumia dawa ni rafiki yangu wa kike
Swala la msingi ni hiliMimi ni Me ,anaehitaji kutumia dawa ni rafiki yangu wa kike
MimbaHellow doctors?
Nauliza dawa Gani inakata period ndani ya muda mfupi?
Thanks in advance
Bnebaa I'm a bwasaheeHellow doctors?
Nauliza dawa Gani inakata period ndani ya muda mfupi?
Thanks in advance
Beba mimba bwasheeHellow doctors?
Nauliza dawa Gani inakata period ndani ya muda mfupi?
Thanks in advance