Dawa ya kome ni nini?

Natafuta pesa

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2022
Posts
287
Reaction score
396
Habari,

Kidole kinaanza kuvimba na maumivu kwa mbali, msaada mwenye kujua dawa ya kutibu kabla hakijavimba sana,

Sitaki kivimbe hadi ifikie hatua ya kutumbua, tafadhari mwenye kujua dawa ya kuyeyusha huu uvimbe unaoanza na haya maumivu,

Nawasilisha.
 
Ukisema kome wengi hawata elewa watakuelewa wasukuma tu tafuta choroko au wasukuma wanaita ndulu zisage upate unga weka maji kidogo uzungushie hiko kidole uhakikishe huo unga umegandiana kwenye kidole
 
Ukisema kome wengi hawata elewa watakuelewa wasukuma tu
tafuta choroko au wasukuma wanaita ndulu zisage upate unga weka maji kidogo uzungushie hiko kidole uhakikishe huo unga umegandiana kwenye kidole
Shukrani mkuu
 
Tumia ndulele unakuwa unakamulia hcho kidole n chap tu
 
Kama una mke kila asubuhi ukiamka pima oil kwa kutumia kidole kilichovimba unakiacha humo kwa kama dakika tano!

Hii niliwahi kuisikia mahali ,sasa kama hana mke akapime wapi??
 
Twanga Kitunguu swaumu punje 2 au tatu kulingana na unene wa kidole chako, weka palipoathirika funga hapo kwa kitambaa ni vizuri Utangulize kitu kischopitisha maji ili wakati wa kulala harufu ya swaumu isikukere acha kwa masaa 12 yaani jioni hadi asbuhi, kama hutoki toki funga kwa masaa 24 mdudu kwisha. Hakivimbi wala kutoa usaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…