Matibabu mengi ya kienyeji ni ya kubahatisha, Mara sijui dawa ikukubali, na wakati mwingine inaongeza tatizo. Wewe hicho kijeraha chako ni kidogo tafuta tu matibabu.

Ni vema uende hospitali kidonda kikasafishwe upewe antibiotics zinazohusika ni kidonda ambacho kisipoangaliwa kinaweza kukuletea madhara makubwa sana boss