Ebenezer112
Member
- Apr 21, 2014
- 40
- 9
- Thread starter
-
- #81
Asante Sana Mokoyo,Why kila kinachofanywa na mtanzania kinakuwa utapeli??
Unapatikana wapi?, nahitaji dawa ya kisukariHabari za jioni Retired,,
Najua kwamba utasema mimi ni tapeli,, Lakini sichukui pesa ya mtu mpaka nimpe dawa na azitumie kwa miezi miwili ndo anilipe kama atapenda kunichangia, lakini siwezi kuchukua pesa ya Mtu mpaka adhibitishe mwenyewe kwamba dawa hii inatibu.
Nadhani umenielewa kaka.
Habari alphonce,,Unapatikana wapi?, nahitaji dawa ya kisukari
Habari,Tuache utapeli
Asante Sana interface,Nina mtu ana kansa ya ini nitakutafuta naona maelezo yako kiasi yameniingia sababu umeruka viunzi vingi sana kwa kujitetea.allah akusaidie
Habari za mchana,,Hizo dawa bora hivyo muendelee kugundua wenyewe...Mimi siku nikigundua dawa za magonjwa kama vile ulcers, sukari, pressure, kansa n.k. nitapiga kambi hospitali za serikali nijichotee wagonjwa waliothibitishwa niwatibu buree kwa mwaka mmoja. Kisha wapimwe tena baada ya tiba yangu. Mwaka unaofuata sitokuwa na haja ya kujitangaza JF wala TBC ....nitakuwa napiga pesa tuuu.
Napita
Wala hata sikuelewi unachozungumza,,?
Mimi ndo kwanza nimeanza kujitangaza wala sikuwahi kuwa na hospitali yeyote,,
Na huyo doctor Ngwara ndo kwanza namsikia kwako,,
kama kweli unataka msaada basi njoo usaidike, lakini si vizuri kusingizia watu ili waonekane matapeli,, sio vizuri hicho kitu unachokifanya,,,!!!
Tunauza dawa za kansa /saratani za aina zote kwa mfano kansa /saratani zifuatazo:-
Kansa ya Ngozi, Kansa ya mapafu (Lungs Cancer), Kansa ya utumbo (Colon Cancer), Leukemia (kansa ya damu), kansa ya mifupa (Bone Cancer), kansa ya matiti (breast cancer), Kansa ya tezi dume (Prostate cancer), kansa za kizazi kama ovarian cancer,kansa ya kibofu, Uterine Cancer. etc.
Dawa ya kansa / Saratani ni B-17 kama inavyoonekana kwenye Picha, na dawa hiyo matumizi yake ni kama ifuatavyo:-
1. utapewa B-17 kopo mbili
2. Utapewa pia na Zinc Mineral supplement kopo 1. (Special sio zile wanazotumia hospitalini hizi za tiba mbadala)
3. ila utaongezea wewe vitamin mbili tu utaelekezwa,
Pia utapewa menu (Nutrition / diet)
1. itakuelekeza vyakula gani usitumie na sababu zake kwa nini usitumie na muda wa kutovitumia mpaka utakapopona., inamaanisha baada ya kupona unaweza kuvitumia tena.
2. Vyakula ambavyo ni muhimu kutumia wakati unatumia dawa / kipindi chote utakachotumia dawa.
Dawa ya B-17
inaongeza appetite ya kula, ina regulate blood pressure, pia unapunguza cell za kansa na kuziondoa kabisa.
Contact hii ili kuzipata: +447456171773 au+255787291773