Dawa ya kansa inapatikana!!!

Kama ulipoteza mama kwa kansa na unafahamu maumivu ya kansa na inatambulika kuwa hakuna dawa ya kansa....basi mizaha kama hii huudhunisha sana.


Pole sana mkandumbwe,,

Sio masihara hats kidogo, shida ipo kwenye kkulipa pesa au,,? Mimi sichukui pesa ya Mtu mpaka uijaribu dawa mwenyewe, alaf mi ndo kwanza nimegundua hii Dawa mwaka jana, kwahiyo kama kuna Mtu yeyote ambayo anateseka na kansa basi mwabie anipigie simu ili nimpe dawa anywe na apone.

Dawa iko kama asali mbichi, na Mtu anakula tone moja asubuhi, mchana na kabla ya kulala.

Ni rahisi sana kutumia dawa hii na wala sio chungu wala mbaya kwa afya, ni dawa ambayo hata Mtu asiyeumwa akiinywa hapati shida.

Nadhani umenielewa.
 


Hi raphael,,

Kama ukisoma post zangu ni kwamba nimeshajitolea kutibu bila pesa sema ninahitaji ushahidi wa watu waliopona 50 ili niweze kupata kibali TFDA, na kwakua imeshatibu watu wachache Ndoo maana sasa ninahitaji iweze kufahamika na watu wengi.

Kingine #1. Mimi nimeajiriwa nafanya kazi na ninalipwa vizuri.

#2. Mimi siyo tapeli, hatakama mgonjwa yupo Arusha, Mwanza, Mbeya, Singina n.k.. Mimi nitamtumia dawa zangu kwa gharama zangu mwenyewe za usafirishaji mpaka kwa mlengwa.

Labda kama unataka uhakika nipigie simu ili tuongee na nikuhakikishie kama kweli mimi si muongo wala tapeli,, Bali nina ajira yangu nzuri, ila ninapenda kusaidia watu ndo maana nifanya haya.

Nadhani utakua umenielewa.
 
Kaka humu utapata tabu sana watu kukuelewa jaribu kupeleka jamii dokta huko ndio watakuelewa watu wengi huwa wanafikili kansa na kisukari aina tiba.... hata kama ukiwambia virusi vya ukimwi ni feki watu awawezi kukuelewa. Wameshakariri kwa haya magonjwa hayana dawa. Tunaangamia kwa kukosa maharifa. Kansa. Kisukari. Ukimwi. Haya magonjwa yanatibika kabisa. Ukioma ugonjwa auna dawa basi jua huo ugonjwa ni feki. Kifo na uzee ndio avina dawa. Asante sana kwa tiba yako watakaokuelewa watakaokuelewa. Wasiokuelewa wasikuumize kichwa. Nakutakia kazi njema mungu akulinde na mabaya yote.
 

Habari kauzu12,,

Nashukuru sana kwa kunipa Moyo na mawazo, Mungu akulinde pia.
 
Kansa haina dawa mkuu zaidi ya kukata kiungo ambacho kimezurika na ukichelewa ni kusubir kifo tu
 
Mkuu! Kwa vile bado upo katika kutafuta uhalali wa tiba yako, Kwa nini usitibu bure kwa sasa? Yani unampata Mgonjwa, unaweza kumpiga mpaka picha na video kabla ya kuanza kutumia dawa na pia baada ya kupona, na imani itawafanya watu wakuamini hata ukipeleka report yako kunapohusika wakuelewe!

Sote tunajua Cancer haina dawa, wapo watu wanateseka na Cancer Ma hospitalini, wakisubiri siku ya kufa Tu, sidhani Kama itakua shida kwao au kwa ndugu zao kuruhusu.

Fanya bure Mzee na baadaye dawa yako ikiidhinishwa na Taasisi husika then ndo unaweza kuja hapa kifua mbele na Ku charge pesa!
 
Mkuu nenda "ocean road hospital" wagonjwa wapo wengi, kawaponye kwanza wale ndo tuanzie hapo.
 

Nitampa ndugu yangu namba yako aje akuone. Yupo huko mbezi . Hivi mbezi jogoo ni wapi, Kimara au beach
 
[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]
 
Mimi ninapatikana pale Mbezi Beach Jogoo, lakini bado sijaamalizia ukarabati wa ofisi yangu.

Nitamalizia ukarabati wa ofisi yangu mwakani na nitaanza kutoa dawa na ushauri ofisini kwangu.
Yaani una dawa ya kansa na kisukari alafu unasuasua kukarabati ofisi???? you can't be serious! Si ungekuwa ushahamia muhimbili?
 
Mkuu mi naomba tu unipe ufafanuzi namna ulivyoithibitisha dawa yako kama yatibu kansa na sukari. Na pia huo muda ulioutaja umejuaje.
 
mashaka yangu ni hizo Id zenu zenye kuakisi imani fulani ili kumvuta mteja/mnunuzi. tumia majina halisi yasiyokuwa na kionjo cha imani ya wengi ili mteja akihiari asisingizie nilimfuata mpendwa ktk imani
 
Ukimuuliza mleta mada Kansas ni mini lazima akimbie,
 
Kuna mama yuko hapa Moshi Uchira anaitwa bi Apasia anaziuza kwa 50 namba yake sina ila kama mtu anaumwa kansa yyte na iko serious ana hadi ward unaenda ukiwa kitandani unarudi unatembea mwenyewe
 
Nenda ocean road hospital kawatibu wagonjwa wawili nitakulipa
 

Hao wachache ni wangapi, na walithibitisha kivipi, wanazo detail zinazoonyesha kuwa walikuwa na kansa kutoka kwa daktari then baada ya kutumia hizo dawa daktari akathibitisha wamepona?
Na walikuwa wana kansa ya nini?
Na je hizo dawa zikathibitishwa kuwa hazikuwa na madhara mengine kwa hao watumiaji?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…