Dawa ya jipu

Mkulu wawe

Member
Joined
Mar 4, 2020
Posts
88
Reaction score
116
Wakuu siku nne zilizopita kuna ka upele kadogo kaliota juu kidogo ya goti mimi nikaona kameiva nikakatumbua. Sasa kamekuwa kero, maana ukubwa wake umeongezeka maradufu halafu naumia, naombeni ushauri wa dawa ya kutumia.

Natanguliza shukrani.
 
Paka dawa ya meno keshokutwa ulete mrejesho
 
Wakuu siku nne zilizopita kuna ka upele kadogo kaliota juu kidogo ya goti mimi nikaona kameiva nikakatumbua Sasa kamekuwa kero maana ukubwa wake umeongezeka maradufu alafu naumia ,naombeni ushauri wa dawa ya kutumia.Natanguliza shukrani
Nenda pharmacy nunua Ampidox(ampicillin +doxycycline) watakuelekeza dosage

Pasua hilo jipu kamua lote mpaka kiini chake kiishe na litoke damu ya kawaida , then tumia Anti-septic(mfano spirit) kupakaa , funga kidonda na bandage

Ukishindwa nenda hospital
 
Paka dawa ya meno au majivu au yala majani ukitwagwa yanavutika kama mlenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…