Gari imeondoka KARIAKOO kufika MANZESE
konda akauliza kuna mtu anashuka?
Abiria 1 akajibu: "Tumeziacha nyumbani tuna
mitandio tu."
kufika mbele..
abiria mwenye nyodo akawa anashuka UBUNGO
MAZIWA. Akasema;
"Konda nashuka maziwa."
Konda akamjibu;
"Itabidi urudi mjini ukanunue Sidiria."