CHRISTURKER
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 266
- 54
Kama kuna anayejua dawa ya tatizo hili,atujuze wakuu
Dawa zipo nyingi tu.,kwanza jibu yafuatayo.
1.wewe ni mwanaume au mwanamke?
2.je umeathirika na virusi vya ukimwi au la
3.una miaka mingapi
Mkuu BAK tukianza kuchambua moja juu ya ingine ninaona nitajaza page moja juu ya ingine ukitaka soma zaidi bonyeza hapa WebMD Genital Herpes Guide - Better Information for Better HealthDr MziziMkavu...elaborate please!!!
It depends on the person. Some commonly reported triggers include:
- Stress
- Illness
- Surgery
- Vigorous sex
- Diet
- Monthly period
Mkuu BAK tukianza kuchambua moja juu ya ingine ninaona nitajaza page moja juu ya inbgine ukitaka soma zaidi bonyeza hapa WebMD Genital Herpes Guide - Better Information for Better Health
Mkuu BAK kuna Mwanamke wa Kizungu nilimuuliza Swali hilo kuhusu hiyo ( Vigorous sex) Alinijibu hivi hebu soma hapa chiniMie mkuu nilitaka ufanye mnyambuliko hapo kwenye rangi ya nanihii.
Mkuu BAK kuna Mwanamke wa Kizungu nilimuuliza Swali hilo kuhusu hiyo ( Vigorous sex) Alinijibu hivi hebu soma hapa chini
What is vigorous sex?
(My only comment on your question is what vigorous sex to you may not be to someone else, I know I have had sex with my
husband 4 times since my diagnosis 6 weeks ago and it has never caused me an outbreak. I have type hsv1 my hubby had cold
sores is whole life we have been married 24 years and were careful when having oral sex, this past xmas we had oral sex 8
days after he had many months of oral outbreaks, thought we were safe and BAM here I am, I do not know what type you
have or if having hsv1 or hsv2 makes a difference. Try a lube see if that helps you. Ky is good some like astroglide, BUT make
sure it does not have fragrance or a warming solution in it that can irritate the genital area. See if that helps, take care and keep smiling) Ninafikiri sasa nimesha kujibu swali lako mkuu BAK.
Mkuu BAK Vigorous sex uliyokusudia hapa itakuwa ni ya Oral Sex mapenzi ya kunyonyana Sehemu za siri sio nzuri kiafya hebu soma zaidi hapa chiniTHANK YOU!!!! Vigorous sex differs from one person to another.
Hepatitis | |
---|---|
Classification and external resources | |
Alcoholic hepatitis evident by fatty change, cellnecrosis, Mallory bodies | |
ICD-10 | K75.9 |
ICD-9 | 573.3 |
DiseasesDB | 20061 |
MeSH | D006505 |
Mkuu.@CHRISTURKER Dawa ingine hii hii hapa tumia:Malengelenge ya Neva katika Ngozi Utajipaka – sehemu ya malengelenge – mafuta ya Habbat-Sawdaa mara tatu kila siku mpaka ion
Nigella Sativa Oil mafuta ya Habbat-Sawdaa
Mkuu CHRISTURKER Kama upo hapo Dares-Salaam nenda katika Maduka ya Super Market makubwa kaulizie unaweza kupata hayo mafuta huku nilipo nipo nje ya nchi yanapatikana ni mbali ukikosa wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu fewgoodman@hotmail.comMtumishi haya mafuta yanapatikana wapi?
Mkuu Uliwahi kutumia Dawa zangu? Mbona hujaleta Feedback?Kama kuna anayejua dawa ya tatizo hili,atujuze wakuu
Kama kuna anayejua dawa ya tatizo hili,atujuze wakuu