Dawa ya fizi kuvimba

Kajabila

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
538
Reaction score
945
Wakuu jino linaniuma na fizi zimevimba upande mmoja shida inaweza ikawa ni nini?? Naogopa isije ikaleta shida
 
Chemsha magome ya mwembe ufumbate maji yake kwenye mashavu kwa muda.

Siyo tiba kamili ila inasaidia kupunguza maumivu.
 
Dawa ninayotumia mimi sikuzote ninapo kuwa na hali hiyo ni kuchemsha maji na chumvi halafu husukutua na kutema maji hayo kama maratano hivi kwa wiki moja au unapojisikia kupona.

Note:
Maji ya uvuguvugu na chumvi(kiasi) fizi itapasuka na uchafu(usaha) utatoka utakapoiva.

Unaweza ukafanya muda wowote lkn vizuri asubuh na usiku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa poa shukrani ndugu yangu
 
Reactions: Yhy
Ndiyo ya ndani mwishoni linamaumivu balaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…