Dawa ya Chango la Uzazi

Dawa ya Chango la Uzazi

Joined
Mar 7, 2025
Posts
61
Reaction score
84
1*ew5JSUkWdGB-YEMsk0FSKg.jpeg

Chango la uzazi ni tatizo kubwa linaloshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke. Tatizo hili humsababishia maumivu makali ya tumbo, kushindwa kubeba ujauzito, au mimba kuharibika mara kwa mara muda mfupi baada ya kutungwa.

Mara nyingi chango la uzazi husababishwa na vifuko vya mayai ya uzazi (ovaries) kushindwa kuzalisha mayai na kuyafanya yakue kwa wakati unaotakiwa. Hali hii humfanya mwanamke kukosa mpangilio wa siku za hatari za kushika mimba, au kuwa na mpangilio usio thabiti.

Kama unakabiliana na changamoto hii, dawa ya kiasili inaweza kukusaidia kuondoa tatizo hili kwa ufanisi.

Mahitaji​

  • Majani ya mzugwa / mvuga

Matayarisho​

Chukua majani ya mzugwa kisha uyasafishe vizuri. Baada ya hapo, chemsha katika maji kwa dakika 15. Epua dawa hiyo na uache ipoe vizuri kabla ya matumizi.

Matumizi​

Mgonjwa anatakiwa kunywa kikombe kimoja mara tatu kwa siku, kwa muda wa siku 7 hadi 14. Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, tatizo la chango la uzazi linaweza kuondoka kabisa.

Faida Nyingine za Dawa​

Mbali na kutibu chango la uzazi, dawa hii pia imekuwa msaada katika:

  • Kutibu U.T.I
  • Kusafisha kizazi
  • Kuzibua mirija ya uzazi
  • Kupevusha mayai ya kike haraka
  • Kurekebisha mfumo wa homoni
  • Kurudisha mpangilio sahihi wa kupata hedhi

Wito wa Haraka​

Kama changamoto yako imekuwa ya muda mrefu na unahitaji msaada wa haraka, karibu ofisini kwetu Mwanza — Mkolani upate dawa hii kiasili.

Pia, kama uko mbali, huduma yetu inakufikia popote ulipo ndani ya Tanzania. Usisite kuwasiliana nasi kwa simu +255747558143.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom