Dawa ya babu ikiwa sumu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya babu ikiwa sumu?

Discussion in 'JF Doctor' started by Najijua, Apr 28, 2011.

 1. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  wadau naomba kuuliza ikiwa dawa ya babu wa Loliondo ni sumu na ina madhara Tanzania itakuwa na viongozi wangapi salama?idadi ya raia itabaki million 40 na zaidi kama ilivyo sasa?
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Nafasi nyingi zitakuwa wazi na hii itatoe fursa kwa wengine kujipunguzia kiwango cha umaskini
   
 3. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  nadhani kiwango cha umaskini kitaongezeka badala ya kupungua fikiria mara mbili mkuu
   
 4. Absolute

  Absolute JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 19, 2007
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mara ya kwanza nilishtuka sana.... kuja kuisoma hii post vizuri nikashtukia kuwa ni imaginations!!!!!
   
Loading...