Dawa ya asili ya VVU/AIDS

ndongoti

Member
May 31, 2015
59
28
Ni kwa wale wenye vvu na hawajaanza kutumia ARVS,Kuna dawa ya kumaliza kabisa vvu mwilini.kwa mwenye shida ani pm
wahi utibiwe kabla vvu havijakuathiri sana
 
Mbona waafrika hamjiamini kama mna uwezo wa.kutengeneza dawa?? Mpaka cha mzungu ndio muamini
Ndo apo sasa!!! Akija mzungu na dawa ndo tunamuamini!!! Yaani tuna akili za kikoloni sana!!!

Ila mkuu, waafrika wengi wanaokuja na dawa hizo ni matapeli. Ukitaka uaminike uwe na ushahidi. Ushahidi kabisa daktari anaeaminika apime kabla na baada ya matumizi ya hiyo dawa. La sivyo utaonekana tapeli tu
 
Eti waafrika hatujiamini? Hebu leta ushahidi wa zuri ambalo limekua na faida duniani kote ambalo tumelianzisha sisi.. saa tu tumeshindwa..muwe mnaargue kwa kufikiria sio siasa
 
Ndo apo sasa!!! Akija mzungu na dawa ndo tunamuamini!!! Yaani tuna akili za kikoloni sana!!!

Ila mkuu, waafrika wengi wanaokuja na dawa hizo ni matapeli. Ukitaka uaminike uwe na ushahidi. Ushahidi kabisa daktari anaeaminika apime kabla na baada ya matumizi ya hiyo dawa. La sivyo utaonekana tapeli tu
Yes hilo.nakukubalia but sipendi watu kabla haja hawajareason wanaleta uzungu mwingi..... kwani mababu zetu before wazungu hawajaja walikuwa hawaumwi magonjwa na wakajitibu na.mitishamba.
Au.mzungu alipokuja ndio magonjwa yakaanza kuja?
 
Unataka dawa nenda inbox, hutaki nenda kwenu!

Life is so simple, hamjui tu!
 
Ni kwa wale wenye vvu na hawajaanza kutumia ARVS,Kuna dawa ya kumaliza kabisa vvu mwilini.kwa mwenye shida ani pm
wahi utibiwe kabla vvu havijakuathiri sana
Mimi ninayo dawa ya kumaliza ukimwi nitafute kwa wakati wako.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Back
Top Bottom