Dawa ya asili ya mitishamba kutokomeza mbu ndani ya nyumba

Dawa ya asili ya mitishamba kutokomeza mbu ndani ya nyumba

josepher

Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
70
Reaction score
14
MBU ni tatizo kubwa kwa afya zetu na familia zetu kwa ujumla.Tokomeza maleria kwa kutumia dawa ya asili iliyotengenezwa kwa mitishamba.Dawa hii ukishaiweka kwenye umeme inatoa harufu nzuri isiyokuwa na kero, ambapo husababisha mbu kuikimbia harufu hiyo. Unaweza kuacha mlango wazi na mbu hukimbia kwenda nje, na walio nje hawewezi kuingia ndani kutokana na perfume inayotoka kwenye dawa hii. Kumbuka kuwa mbu huingia ndani kwa wingi mida ya jioni giza linapoanza na asubuhi kunapoanza kupambazuka, muda huo kama utakuwa umewasha dawa, hata ukifungua milango mbu hawataingia ndani. Haina madhara kwa afya ya mwanadamu kwa kuwa imetengenewa kwa miti shamba na products nyingine za asili.
Machine pamoja na dawa Tsh 25,000/=. Dawa (liquid) peke yake Tsh 10,000
0755-522018.sabuni bei yake ni 5000/=.sabuni hii haina madhara hata kwa mtoto mchanga imetengenezwa kwa miti shamba
Sabuni nzuri sana kwa ajili ya kufukuza mbu, ukiitumia kwa kuoga inaacha harufu mwilini ambayo mbu huikimbia harufu hiyo. Sabuni hii pia ni nzuri kwa ngozi, pimples na mabaka/madoa kwenye ngozi huondoka. Haina madhara kwa afya ya mwanadamu kwa kuwa imetengenewa kwa miti shamba na products nyingine za asili. Mtoto mdogo anaweza kuitumia sabuni hii. Familia yangu tunatumia sabuni hii.
Kwa anayetaka kuwa supplier au kununua kwa bei ya jumla naomba tuwasiliane pia.
0755-522018
 

Attachments

  • 600830_709445622404153_47087666_n.jpg
    600830_709445622404153_47087666_n.jpg
    85 KB · Views: 159
  • 1185400_196612643847452_1224189755_n.jpg
    1185400_196612643847452_1224189755_n.jpg
    38.7 KB · Views: 167
josepher;7185315]MBU ni tatizo kubwa kwa afya zetu na familia zetu kwa ujumla.Tokomeza maleria kwa kutumia dawa ya asili iliyotengenezwa kwa mitishamba.Dawa hii ukishaiweka kwenye umeme inatoa harufu nzuri isiyokuwa na kero, ambapo husababisha mbu kuikimbia harufu hiyo. Unaweza kuacha mlango wazi na mbu hukimbia kwenda nje, na walio nje hawewezi kuingia ndani kutokana na perfume inayotoka kwenye dawa hii. Kumbuka kuwa mbu huingia ndani kwa wingi mida ya jioni giza linapoanza na asubuhi kunapoanza kupambazuka, muda huo kama utakuwa umewasha dawa, hata ukifungua milango mbu hawataingia ndani. Haina madhara kwa afya ya mwanadamu kwa kuwa imetengenewa kwa miti shamba na products nyingine za asili.
Machine pamoja na dawa Tsh 25,000/=. Dawa (liquid) peke yake Tsh 10,000
0755-522018.sabuni bei yake ni 5000/=.sabuni hii haina madhara hata kwa mtoto mchanga imetengenezwa kwa miti shamba
Sabuni nzuri sana kwa ajili ya kufukuza mbu, ukiitumia kwa kuoga inaacha harufu mwilini ambayo mbu huikimbia harufu hiyo. Sabuni hii pia ni nzuri kwa ngozi, pimples na mabaka/madoa kwenye ngozi huondoka. Haina madhara kwa afya ya mwanadamu kwa kuwa imetengenewa kwa miti shamba na products nyingine za asili. Mtoto mdogo anaweza kuitumia sabuni hii. Familia yangu tunatumia sabuni hii.
[COLO NIELEKEZE DUKA LILIPO. ! 0715500248
 
Kama ungepanda kuwa supplier wasiliana nasi kwa 0755-522018 au njoo ofisini tupo mwenge karibu na tra
 
Tupo mwenge karibu na tra wasiliana nasi kwa maelekezo 0755-522018
 
Tupo mwenge karibu na tra wasiliana nasi kwa maelekezo 0755-522018
 
josepher Tatizo langu ni Umeme na wasiwasi hico kifaa kinatumia umeme wa 220v-250v
sasa naishi Mwitikira Dodoma Vijijini nielekeze zaidi naweza kwenda ichargr km simu dukani au kuna dawa za kuchoma na moto?
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kifaa kinatumia umeme wa 220v,unaweza kutumia sabuni badala ya dawa lakini kama unatumia solar pia unaweza kutumia lakini siyo rechargable kama simu
 
Nauza dawa za asili za mitishamba zinatibu tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume ..mfano kushindwa kudindisha..uume legelege..kushindwa kurudia tendo mara nyingi....kukosa hamu ya tendo..kuwah kupizi..na pia tunatibu magonjwa ya kina dada na kina mama..wasiozaa wenye maumivu kiunoni na kitovun..kutokwa na harufu mbaya ukeni majimaji mengi ukeni..nitafute kupitia 0744069527..dr kanyas
 
Back
Top Bottom