Dawa nzuri ya jicho lenye allergy ni ipi?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,813
15,071
Wakuu kwema.

Nilipimwa week moja iliyopita nikaonekana kuwa jicho langu lina allergy na lina vipele kwa ndani,hivyo specialist akanipa hizi dawa IVYDEXONE eye drops na PYRIMON Dexamethasone Chloramphenicol Eye drops but mpaka sasa sijapata nafuu yeyote jicho limekuwa jekundu, linatoa machozi na linakuwa kama lina mchanga kwa ndani. So nitumie dawa gani nyingine ili nipone wakuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom