Queenpolite
New Member
- Nov 18, 2019
- 3
- 1
Dawa nzuri ya fungus inayotoa kama utangotango ni ipi? Msaada




Sasahivi hali ya hewa sio nzuri leo hosp nimekutana na watu wengi wana utangotango
Dawa wanasemaga mafuta ya break ila ni vizuri ukaenda hosp ukaonana na dr wa magonjwa ya ngozi kwa tiba na ushauri sahihi
Au nenda phamarcy waone sehem husika watakuandikia dawa za kutumia
Sasa uende pharmacy ukawapanulie watu pu.mbu?? Ww itaje kama unaijua mtu amtume mtoto akanunue![]()
SONADERMDawa nzuri ya fungus inayotoa kama utangotango ni ipi? Msaada
Dawa nzuri ya fungus inayotoa kama utangotango ni ipi? Msaada