Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,141
Asante karibuni kwa wale munaotaka kupunguwa hiyo ndio dawa mutapunguwa na kuondokewa na vitambi vya tumbo mukitumia dawa zangu asanteni.Mkuu.@MziziMkavu sisi wengine tuliokuwa wanene tutakutafuta ili tuweze kutumia hizo dawa zako asante sana.
Lakini sio Dawa zangu mimi dawa zangu ni za mitishamba na hazina madhara kwa binadamu zimetengenezwa kwa utaalam wa kisasa vidonge (Capsule) wewe lete ushahidi wako ulitumia dawa za aina gani mpaka zikakuletea madhara kwako?Mi nilikunywa haya madawa nikaconticepate balaa
-kwanza kabisa penda kufanya mazoezi ya kutembea, uwe unatembea (jogging) kama dk 30 hivi kwa siku.
-Kunywa lita ya maji ya uvugu vugu kila siku asubuhi baada ya kuamka, maji hayo changanya na kipande cha limao. Kunywa maji kabla ya kula breakfast.
-Kama mnywaji wa beer jitahidi kupunguza angalau uwe unakunywa mara chache kwa week, kama ulikuwa unakunywa beer 6 kwa siku, sasa anza kunywa 1 tu.
-Penda kula matunda na mboga za majani,punguza ulaji wa red meat (nyama kama za cow au mbuzi) penda kula lean meat. Kama mlaji wa kuku usile ngozi yake.
-Vinywaji vya sukari nyingi navyo ni vizuri kuepuka kama soda, kama huwezi unaweza kupunguza ktk unywaji wake.
Kama utafuata vizuri maelekezo hayo, I hope utapunguza uzito wako.
The easiest way is lo seek medical advice.
Hili darasa nimelipata wapendwa maana mi kitambi kinanitesa sana na kilikuja bila hata taarifa MUNGU AWABARIKI SANA.