Kama ni wako sauzi afrika tumia cream au vidonge ukienda maduka ya dawa watakuuzia ,pia tafuta makufuli ya cotton(pure cotton)ni makufuli ya bei kubwa kulinganisha na hizo cotton za kitaa,pale Woolworth wanauza hizo ni nzuri na hakikisha unadili kila siku na unavaa zilizokavu,pia hakikisha sauzi afrika kumekuwa kukavu