Dawa halisi ya mdomo kutoa harufu mbaya

Keneth12

Senior Member
Oct 12, 2015
115
162
Ndugu wote na marafiki na wasio marafiki wenye tatizo la mdomo kutoa harufu mbaya ninawaarifu kuwa sasa nina dawa sahihi huhitaji nikutumishie kwenye basi, kila kitu ntakachokuelekeza unacho hapo ndani kwako, wenye matatizo hayo wapatao 7,000 tayari wameondokana na tatizo hilo itachukua siku 5 tu kukamilisha hayo, gharama yake ni sh. 50,000 - 75,000 pesa sio kitu adha hiyo ya harufu mbaya mdomoni ina aibisha. kwa wale ambao ni wagonjwa tu na walio serious kutaka kupona watume sms au wapige simu kwa maelezo zaidi. Karibuni. (tafadhali kama sio mgonjwa usi comment chochote na usibip)
 
7000 waliopona x 50,000 bei yako ya chini = (...)
sasa waliobakia kwanini usiwapunguzie japo kidgo, ili kila mtu amudu? Au gharama ya vifaa vya maelekezo zipo juu?
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Back
Top Bottom