Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,378
Katka no. 1 remix Davido alimwambia Domo "from dar 2 lagos i gona make u famous". Sasa inakuaje mwanafunzi awe fundi zaidi ya mwalimu? Siku zote Domo atakuwa chini ya Davido.
... i knew Davido earlier,,,., but CLOUDS MEDIA made it ,, that ALL TZ 'ns knew DAVIDO.bila diamond wengine tusingejua kuwa kuna davido
Davido alivyopanda kuchukua Tuzo aliwaita wasanii wenzake toka Africa lakini Diamond hakupanda sijajua ni kwanini?
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Davido alivyopanda kuchukua Tuzo aliwaita wasanii wenzake toka Africa lakini Diamond hakupanda sijajua ni kwanini?
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Unajua mnamuonea sana Diamond kumshindanisha na Mpopo?
... i knew Davido earlier,,,., but CLOUDS MEDIA made it ,, that ALL TZ 'ns knew DAVIDO.
ni upunguani kufikiri kwamba DIAMONDOO SOUND angeweza kumdefeat Davido.
na biLA FIESTA! HAKUNA M TZ Angemjua DAVI.
wengine huku tuliko clouds hazishiki but diamond made it
ashukuriwe diamond ....
Hao ni kama Lionel Messi vs christiano Ronaldo.. Wote wakali ila m1 hakabiki tu