Mie nashangaa wabongo wanampenda davido wakati nairaland hata top ten hayupo au sababu ameimba na diamond ...pumba...fff zenu wabongo
hanihusu huyo davida ila nimeguswa na hapo kwa wabongo pumbafff.....wewe jamaa ni --------(nisamehe kama si mbongo).sasa kama huko hayuko top hiyo uliyoitaja ndo waache kusikiliza nyimbo zake?? unamjua jhiko man?? sidhani kama hata unamjua.huwa naskia anafanya show nyingi ulaya kuliko hapa kwao.......
siku nyingine tembea na kichwa chako sio unapost bila kufikiri
Kwani mbunye nini mazee?