Unless kama unaamini wapiga kura wapo JF peke yake na usisahau, mshindi wa MTV sio kama mshindi wa KTMA kwamba anaamuliwa kwa kura za mashabiki kwa 100%.Mamy achana nao hawa saivi washakata tamaa acha watape tape kama kuku anayechinjwa sisi tunavote for davido
Nimesoma hii post Instagram aibu nimeona mimi
wasi kuumize kichwa hao mambwiga hawana ishu achana nao!
Yani aibu sana waTz mpaka tunajulikana kwa upuuz wetu bt ni kutokana na wajinga wachache. Sema sio inshu lets vote tu I belv Diamond atapata tu
Hivi ikatokea let say Diamond akabeba hizo tuzo za MTv base hawa watanzania team ushuzi watajificha wapi?
like seriously? why quoting mwenye wazimu then?
kama hawana ishu kwanini mnapoteza muda kuwajibu?? are u serious?? ishu tunayo ndo maana mmepanic full kutokwa povu
noma sna yani wanaake wajinga hawa na mbunge wao huyu wanafanya tunaonekana wote matahira diamond sijui alikuwa anaipakaga asali kabla hajachomeka maana anamfanya dada wawatu anachanganyikiwa
na ndo kitakacho tokMWISHO WA UBAYA NI AIBU
Watanzania ni watu wa ajabu.....
Nyerere sio muasisi wa taifa ...
Trust me pamoja na haya yote Diamond anarudi na tunzo mbili!
Trust me pamoja na haya yote Diamond anarudi na tunzo mbili!
Muasisi wa Taifa ni Mohamed Said.
Nitafurahi Lawyer.....
Msela anajitahidi kwa nafasi yake
ni mmamuzi binafsi. sifanyi kitu ili nikufurahishe wewe au zombie wengine humu. hutaki tembea mbele.siamin ulichokiandika kuhus Ku vote.........
na mimi huwa sibishani na stressed toy boys u got me...geraaaarehhiiiiahuwa sibishani na stressed girls!
Upo sahihi kwa 100%; yaani hapa ni kwamba anatung'ong'a lakini wenyewe tunadhani anatupenda sasa sijui atakuwa anatupenda kwa kipi zaidi ya kutuona wehu. Nigeria ina watu zaidi ya mara 4 ya Tanzania kwahiyo sidhani kama ana shida na back up ya watu ambao hata yeye anafahamu wala hawafanyi hivyo kwa mapenzi.Davido ana washangaa sio ana tambua mchango wenu