ouagadougou
Member
- Sep 12, 2012
- 5
- 1
Mzee nakuona umeamka na Silinde asubuhi hii..kama nikweli basi watu waliye karibu naye wamshauri ajirekebishe
Haya anayo lalamikiwa mbona ni ya kawaida na yanarekebishika pasipo gharama yoyote.kubwa ni hili la visima ambalo nadhani kuwa yeye kama yeye haliwezi bila kusaidiwa.Ajitahidi kujirekebisha.
Hii post ina faida kwa mheshimiwa Silinde,ushikwapo shikamana kaka,Tunduma siyo mbali,waone wananchi uwape mipango,Wewe una uhakika gani na taarifa za kupewa na mdau usiyekuwa na uhakika naye? Fanya utafiti wa kina hata ikiwezekana mshirikishe Mheshimiwa David Silinde mweleze shutuma zote zinazomkabili.Si umesema ni mdogo wako umesoma naye? Au ndio mambo ya kulitaka jimbo yameanza?
Mheshimiwa David Silinde,chonde chonde mara upatapo habari hii tujuze wanajamii ukweli wa mambo.Jamaa tayari wameishaanza kulitolea macho jimbo lako.Siasa mchezo hatari sana!