Afadhali maana hicho kibabu sigara kimetuchosha.
Lazima utakuwa Liverpool wewe. Ni relief kubwa sana kwa Liverpool.
Ferguson anaondoka Man Utd. Moyes anaondoka Everton.
Liverpool wanataka tena nini zaidi hapo? Ole wao wavurunde tena msimu ujao.
Kutakuwa tena hakuna excuse maana hata David Gill aliyekuwa analalamikiwa kuwanunua marefa nae anastaafu msimu huu.
Two or three biggest threats wa Liverpoll ndo hivyo wanaachia ngazi.
Hakyanani tena mshindwe wenyewe msimu ujao. cc. Pazi
Tena aende kabisa huyu kikongwe, labda Manure wataanza kucheza mpira wa kujitegemea badala ya kutegemea kubebwa na marefa na Ferguson Association (FA).
Kibabu kiende.

Msimu ujao mambo yote Chealse mazeee!!!
Morinho ndani, anambakiza Lampard na Torres, anamleta Londawsk anatuletea Ronaldo. anatuoneza na Di Maria
Yaaanii ngoma inogile mwakani EPL.

Man Utd should loan David Moyes to Schalke for Champions League experience.
msimu ujao mambo yote chealse mazeee!!!
Morinho ndani, anambakiza lampard na torres, anamleta londawsk anatuletea ronaldo. Anatuoneza na di maria
yaaanii ngoma inogile mwakani epl.
Kwani Mwalimu Nyerere alipong'atuka hakujihusisha na shughuli za Serikali? Waulize akina Lowasa, Kikwete na wenzake enzi hizo kiliwakuta nini mpaka wakawa hawafurukuti kwenye siasa.Lazima utakuwa Liverpool wewe. Ni relief kubwa sana kwa Liverpool.
Ferguson anaondoka Man Utd. Moyes anaondoka Everton.
Liverpool wanataka tena nini zaidi hapo? Ole wao wavurunde tena msimu ujao.
Kutakuwa tena hakuna excuse maana hata David Gill aliyekuwa analalamikiwa kuwanunua marefa nae anastaafu msimu huu.
Two or three biggest threats wa Liverpoll ndo hivyo wanaachia ngazi.
Hakyanani tena mshindwe wenyewe msimu ujao. cc. Pazi
Huyo Uchaguzi asitake kuchekesha walionuna, tumeshazoea maneno yao hata walipomchukua yule mvaa maski walisema hayo hayo lakini leo hii tunashuhudia wakigombania nafasi ya nne. Shame...Ndio unavyojidanganya ivyoo eeh? So bila ya Mourinho hambebi kombe? Kwa taharifa yako Man utd tutaendeleza ibabe wetu tena kwa nguvu kuliko awali, poor chelsea, msimu wa pili huu mnaangaika kushiriki top 4 msimu wa pili sasa