Hilo mbona andiko lako😆Unajiharibia 🐼😂
Wabongo huwa tuko fascinated na watu wanaojua kuongea vitu kwa theory na wakawa wamekalili takwimu hata kama ni za uongo haijalishi maana hatuna hata muda wa kuverify chochote, basi watu hao tunawaona wana akili sana na wanafaa kuwa viongozi.Rais Mama Samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, pole na majukumu mazito ya kufanya mamuzi katika taifa letu hili pendwa.
Mambo ni mengi mda ni mchache sana, bila shaka itakuwa unauumiza kichwa juu ya uchanguzi mkuu wa mwakani unafikilia nani awe kampeni meneja mkuu wako? Nani awe makamu wako? Nani awe WAZIRI MKUU wako? Hata hivyo hauwelewi.
Kwa sbb ndani ya ccm kuna vikundi vingi vya 'KIHUNI " ni wachache sana unaowaamini. Ni kweli upo sahihi. Wengi wana-CCM ni ndumilakuwili, mchana upo nao usiku wapo kwingine.
Nakuomba kwa unyenyekevu kwa imani Yako omba dua sana kwa Allah akupe watu sahihi wa kukusaidia kz ,watu wenye hofu ya Mungu, watu wenye hekima ya Mungu, watu wanyenyekevu, watu wenye akili ya Mungu.
Nafasi ya WAZIRI MKUU ukishinda mpe "DAVID KAFULILA"sbb nitazitoa badae, nitaendelea kukusaidia kuweka watu sahihi kwako kadili Mungu anipapo nafsi. Kwa hizo Nafasi za juu.
Mtasababisha arogwe bure jamani.Rais mama samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, pole na majukumu mazito ya kufanya mamuzi katika taifa letu hili pendwa.
Mambo ni mengi mda ni mchache sana, bila shaka itakuwa unauumiza kichwa juu ya uchanguzi mkuu wa mwakani unafikilia nani awe kampeni meneja mkuu wako? Nani awe makamu wako? Nani awe WAZIRI MKUU wako? Hata hivyo hauwelewi.
Kwa sbb ndani ya ccm kuna vikundi vingi vya 'KIHUNI " ni wachache sana unao waamini. Ni kweli upo sahihi. Wengi wanaccm ni ndumila kuwili, mchana upo nao usiku wapo kwingine.
Nakuomba kwa unyenyekevu kwa imani yako omba dua sana kwa Allah akupe watu sahihi wa kukusaidia kazi, watu wenye hofu ya Mungu, watu wenye hekima ya Mungu, watu wanyenyekevu, watu wenye akili ya Mungu.
Nafasi ya WAZIRI MKUU ukishinda mpe "DAVID KAFULILA"sbb nitazitoa badae, nitaendelea kukusaidia kuweka watu sahihi kwako kadili Mungu anipapo nafsi, kwa hizo Nafasi za juuu.
Uzi huu ni endelevu.
Kwa hio kwako mtu akishakua na tabia ya kuvaa makoti makubwa tayari ni waziri mkuu!. Kuanzia Kafulila ateuliwe hapo PPP tena kwa hisani tu anatumia muda mwingi wa kazi kuwekeza kwenye mitandao ili atafutiwe cheo kikubwa zaidi? Kafulila hajafanya lolote tofauti na watangulizi wake ila hata akienda kununua mihogo ya kula utaona taarifa za safari hio karibia mitandao yake. Huyu kama haridhiki na nafasi aliyopewa aseme ili apewe mtu mwingine au Mh. Rais asjauriwe amtumbue. Atulie afanye kazi za kuonekana kuliko nguvu kubwa anayotumia kwenye mitandao na propaganda uchwara.Rais mama samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, pole na majukumu mazito ya kufanya mamuzi katika taifa letu hili pendwa.
Mambo ni mengi mda ni mchache sana, bila shaka itakuwa unauumiza kichwa juu ya uchanguzi mkuu wa mwakani unafikilia nani awe kampeni meneja mkuu wako? Nani awe makamu wako? Nani awe WAZIRI MKUU wako? Hata hivyo hauwelewi.
Kwa sbb ndani ya ccm kuna vikundi vingi vya 'KIHUNI " ni wachache sana unao waamini. Ni kweli upo sahihi. Wengi wanaccm ni ndumila kuwili, mchana upo nao usiku wapo kwingine.
Nakuomba kwa unyenyekevu kwa imani yako omba dua sana kwa Allah akupe watu sahihi wa kukusaidia kazi, watu wenye hofu ya Mungu, watu wenye hekima ya Mungu, watu wanyenyekevu, watu wenye akili ya Mungu.
Nafasi ya WAZIRI MKUU ukishinda mpe "DAVID KAFULILA"sbb nitazitoa badae, nitaendelea kukusaidia kuweka watu sahihi kwako kadili Mungu anipapo nafsi, kwa hizo Nafasi za juuu.
Uzi huu ni endelevu.
Kwa hio kwako mtu akishakua na tabia ya kuvaa makoti makubwa tayari ni waziri mkuu!. Kuanzia Kafulila ateuliwe hapo PPP tena kwa hisani tu anatumia muda mwingi wa kazi kuwekeza kwenye mitandao ili atafutiwe cheo kikubwa zaidi? Kafulila hajafanya lolote tofauti na watangulizi wake ila hata akienda kununua mihogo ya kula utaona taarifa za safari hio karibia mitandao yake. Huyu kama haridhiki na nafasi aliyopewa aseme ili apewe mtu mwingine au Mh. Rais asjauriwe amtumbue. Atulie afanye kazi za kuonekana kuliko nguvu kubwa anayotumia kwenye mitandao na propaganda uchwara.
Haihitaji darubini wala hadubini kujua waziri mkuu ajaye ni nani.
×Ni huyuhuyu Naibu Waziri Mkuu tuliyenaye.×
Dah. Uchawa wa binaadam mwenzio mbaya. Maana akiwa hayupo ktk system unadakia mwengineRais mama samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, pole na majukumu mazito ya kufanya mamuzi katika taifa letu hili pendwa.
Mambo ni mengi mda ni mchache sana, bila shaka itakuwa unauumiza kichwa juu ya uchanguzi mkuu wa mwakani unafikilia nani awe kampeni meneja mkuu wako? Nani awe makamu wako? Nani awe WAZIRI MKUU wako? Hata hivyo hauwelewi.
Kwa sbb ndani ya ccm kuna vikundi vingi vya 'KIHUNI " ni wachache sana unao waamini. Ni kweli upo sahihi. Wengi wanaccm ni ndumila kuwili, mchana upo nao usiku wapo kwingine.
Nakuomba kwa unyenyekevu kwa imani yako omba dua sana kwa Allah akupe watu sahihi wa kukusaidia kazi, watu wenye hofu ya Mungu, watu wenye hekima ya Mungu, watu wanyenyekevu, watu wenye akili ya Mungu.
Nafasi ya WAZIRI MKUU ukishinda mpe "DAVID KAFULILA"sbb nitazitoa badae, nitaendelea kukusaidia kuweka watu sahihi kwako kadili Mungu anipapo nafsi, kwa hizo Nafasi za juuu.
Uzi huu ni endelevu.
Haya 🐼Hilo mbona andiko lako😆
Another ID
Haya 🐼
Hayo ni matukio ya kutengeneza kama lile la Jerry Slaa kusema alikataa rushwa ya 1b wakati watu wana mafaili yake. Hata kama ni kweli alikataa, hio sio sababu ya kuwa Waziri Mkuu. Kwani kuna aliyempelekea Majaliwa rushwa akapokea?Kafulila tangu akatae 3b za rushwa alishajijengea himaya ya uaminifu kwa Watanzania ndio maana anatajwa tajwa sana
Haya Mheshimiwa Tu2 🐼Unaposema unamuharibia Kafulila wakati mtu anaandika humu kwa mahaba yake tu kwa Kafulila sasa Kafulila ushiriki wake uko wapi?
Mbona hata wewe unamuharibia sana tu kwa maandiko yako?
Rais mama samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, pole na majukumu mazito ya kufanya mamuzi katika taifa letu hili pendwa.
Mambo ni mengi mda ni mchache sana, bila shaka itakuwa unauumiza kichwa juu ya uchanguzi mkuu wa mwakani unafikilia nani awe kampeni meneja mkuu wako? Nani awe makamu wako? Nani awe WAZIRI MKUU wako? Hata hivyo hauwelewi.
Kwa sbb ndani ya ccm kuna vikundi vingi vya 'KIHUNI " ni wachache sana unao waamini. Ni kweli upo sahihi. Wengi wanaccm ni ndumila kuwili, mchana upo nao usiku wapo kwingine.
Nakuomba kwa unyenyekevu kwa imani yako omba dua sana kwa Allah akupe watu sahihi wa kukusaidia kazi, watu wenye hofu ya Mungu, watu wenye hekima ya Mungu, watu wanyenyekevu, watu wenye akili ya Mungu.
Nafasi ya WAZIRI MKUU ukishinda mpe "DAVID KAFULILA"sbb nitazitoa badae, nitaendelea kukusaidia kuweka watu sahihi kwako kadili Mungu anipapo nafsi, kwa hizo Nafasi za juuu.
Uzi huu ni endelevu.
Mbona Kuna nyuzi nyingi sana za hili jina? Hivi huyu huwa ni nani?Rais mama samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, pole na majukumu mazito ya kufanya mamuzi katika taifa letu hili pendwa.
Mambo ni mengi mda ni mchache sana, bila shaka itakuwa unauumiza kichwa juu ya uchanguzi mkuu wa mwakani unafikilia nani awe kampeni meneja mkuu wako? Nani awe makamu wako? Nani awe WAZIRI MKUU wako? Hata hivyo hauwelewi.
Kwa sbb ndani ya ccm kuna vikundi vingi vya 'KIHUNI " ni wachache sana unao waamini. Ni kweli upo sahihi. Wengi wanaccm ni ndumila kuwili, mchana upo nao usiku wapo kwingine.
Nakuomba kwa unyenyekevu kwa imani yako omba dua sana kwa Allah akupe watu sahihi wa kukusaidia kazi, watu wenye hofu ya Mungu, watu wenye hekima ya Mungu, watu wanyenyekevu, watu wenye akili ya Mungu.
Nafasi ya WAZIRI MKUU ukishinda mpe "DAVID KAFULILA"sbb nitazitoa badae, nitaendelea kukusaidia kuweka watu sahihi kwako kadili Mungu anipapo nafsi, kwa hizo Nafasi za juuu.
Uzi huu ni endelevu.
Haya Mheshimiwa Tu2 🐼