David Kafulila: Rais Samia anajenga 'competitive economy'

Hizi njaa hizi,kafulila ni WA kusifia ccm?Bro we ni kama big G,umeishautamu,sasa hv umeishatupwa,kuendelea kusifia kinywa Cha ccm kilichokutafuna na kukumaliza utamu,ni uzwazwa tu,
 
Sasa bro mamilioni yote ya ubunge,si ujiajiri tu,fungua kampuni!!maana ulipokuwa mjengoni,ndio hivyo mlivyokuwa mnashauri vijana wakitoka vyuoni wafanye!!sasa wewe umeishashika mamilioni,jipe ajira
 
Sasa bro mamilioni yote ya ubunge,si ujiajiri tu,fungua kampuni!!maana ulipokuwa mjengoni,ndio hivyo mlivyokuwa mnashauri vijana wakitoka vyuoni wafanye!!sasa wewe umeishashika mamilioni,jipe ajira
Unahangaika Sana, jenga hoja
 
Wewe Kafulila zama zako zimeisha. Wewe kaa kwa kutulia. Hata usifie mpaka upasuke haitasaidia kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…