david cameroon

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
hivi huyu sijui ni madam au sir nikimwomba yeye yuko tayari kunipa au atasema nimedhalilisha?

na je nikwanini mnaendela kutupa misaada wakati mlisema kuwa tusipokubali kuwapa hamtupi?

na je nikimwomba msaada atanipa au nitaishia tu kuandikw bbc

yaani nimwambie mwenzie huwa silali nikimwona huko nyuma hakuwa hivyo nashaa siku hizi amebadilika mpaka anakuwa na ujasiri wa kusimama kwenye mkutano mkubwa wa kimataifa na kusema msinyimane pandaneni kama vile nilivyowapanda ninyi basi nanyi pandaneni vilevile. au anajifanya mzungu alitakuwa namaanishia tupendene akatamka kiswahili kwa lafudhi ya kidhungu?
 
Back
Top Bottom