Ndugu wana JF natafuta gari ya zamani kwa DATSUN 120Y SSS COUPE or SEDAN. Najua zipo ila watu hawazitumii kwa sasa hivi.View attachment 401393 View attachment 401390
Silicon Valley, iko hivi, nataka kuanzisha collection ya magari ya zamani, actually kwa hapa Tanzania tumechelewa sana majirani zetu wanafanya hiyo kitu na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa. its just for fun.Tafadhali naomba utujuze na sisi kwa nini uitafute hiyo gari ya zamani sana nadhani 30- 40yrs ago na kwa nn usinunue tu zilizopo km ni usafiri ?
Go through this link.Silicon Valley, iko hivi, nataka kuanzisha collection ya magari ya zamani, actually kwa hapa Tanzania tumechelewa sana majirani zetu wanafanya hiyo kitu na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa. its just for fun.
Mimi niko Dar, kama moshi liko nipe no yako inbox tuongee.njooo moshi lipo
Kila la heri mimi natafutaDuh kila la heri, mie natafuta mgongo wa chura na chai maharage
Kila la heri mimi natafuta peugeuot 504 pick upDuh kila la heri, mie natafuta mgongo wa chura na chai maharage
Silicon Valley, iko hivi, nataka kuanzisha collection ya magari ya zamani, actually kwa hapa Tanzania tumechelewa sana majirani zetu wanafanya hiyo kitu na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa. its just for fun.
Ok asante but kwa sasa naona nianze na saloon cars.Okay niliwahi kuona USA wana recondition/renovation magari ya 50's na kuweka accessorizes za kisasa kabisa
Sisi tuko dar tunazo FIAT 682 N3 TRUCKS ni za zamani kuliko hy120y nzima kabisa zinatembea ukihitaji tuwasiliane
Umeiona wapi mkuu na una hakika kinatembea baab'???upo maeneo yapi hapa Tanzania....Hiyo ya pili IPO hapa mtaani watoto wansjificha humu ila inatembea toa ofa yako niongee na jamaa