and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,432
- 40,145
Katika pita pita zangu nimekutana na dada mrembo kiasi nikamtongoza akaingia line siku ya pili tukatafutana tukaenda kupiga shooo (Japo Mashine BREKI P). Nilipoomba tukapime akazuga mi nikapotezea, sasa vizinga ninavyopigwa si vya nchi hii, mara nikopeshe nimalizie kodi, sijui nimepata msiba kijijini mara mama mgonjwa na anataka mpaka Pasaka nikajitambulishe kwao. Daah. Aisee Wanyamwezi mpoje?