Duuu, halafu King'asti hapo wewe ndo mama mwenye nyumba na unatakiwa uwapikie ugali, utakoma kulinga! ugali wa kuwatosha wote, na kupika kila siku si utajazia mikono na kifua kama tyson au wanyanyua vyuma vizito?

Huko kwetu bhana watu wanakula ugali wa udaga, ukiuona ugali anaokula mtu mmoja huku mjini wanakula watano. Halafu wali kwao ni appetizer sio main course......