Database

Database

zigi 01

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
323
Reaction score
198
Msaada nimetengeneza school system kwa kutumia php html na mysql sasa shida niliyonayo ni nawezaje kutengeneza login system ambayo itawafanya wanafunzi waliokwisha sajiliwa kujisajili kwenye account zao kwa kutumia zile zile registration number zao wao wacreate password tu! Na kuweza login
 
tafuta information kwenye internet ukikosa ajiri mtu aje afanye hio kazi.
 
I'm just a beginner wa ICT so ndio naanza kufanya project za kujifunzia mkuu so kila kitu nitakua nakijua vingine naomba msaada just idea tu
 
Msaada nimetengeneza school system kwa kutumia php html na mysql sasa shida niliyonayo ni nawezaje kutengeneza login system ambayo itawafanya wanafunzi waliokwisha sajiliwa kujisajili kwenye account zao kwa kutumia zile zile registration number zao wao wacreate password tu! Na kuweza login
Mbona simoke tu tutaftane tufanye kolabo
 
Msaada nimetengeneza school system kwa kutumia php html na mysql sasa shida niliyonayo ni nawezaje kutengeneza login system ambayo itawafanya wanafunzi waliokwisha sajiliwa kujisajili kwenye account zao kwa kutumia zile zile registration number zao wao wacreate password tu! Na kuweza login
Ngoja ninywe chai ntakuja saa Saba kukupa idea usiende google
Utuambie ni php ya aina gani unatumia pdo au procedural au vinginevyo
Pia unatumia plain html au framework ya aina gani
Pia kwenye database yako Kuna structure gani je Kuna table ya student/user
Ukijibu utakula shule sure hapa mapenda maswali ya aina hio
 
Lazima uwe na table ya registered students
 
Nimeingia but cjapata exactly ideal
Then stop programming kama hata unashindwa kupata jibu la hio kitu kutoka google je vitu vilivyo complicated zaidi?? Kuna stackoverflow, codingcage, codeproject etc..... wote hao wana majibu yako unayotaka
 
Ngoja ninywe chai ntakuja saa Saba kukupa idea usiende google
Utuambie ni php ya aina gani unatumia pdo au procedural au vinginevyo
Pia unatumia plain html au framework ya aina gani
Pia kwenye database yako Kuna structure gani je Kuna table ya student/user
Ukijibu utakula shule sure hapa mapenda maswali ya aina hio
Safi sana mkuu. Tunahitaji watu kqma nyie hapa jf. Sio mtu analuja kumkatisha tamaa tu jamaa hapa
 
Mimi naweza kuwa msaada kwako lakini upande wa database design but not on implementation kwani nina deal sana na microsoft SQL. Kwa front end naweza kukupa idea jinsi ya kifanya lakini siyo kufanya kwani siyo mtaalamu wa php labda kama ukitaka kwa asp/aspx chini ya vb au c#. Nakumbuka tuliwa contact ila ukapotea
 
Ideally unatakiwa kuwa na two login pages, moja ya registered students na nyingine ya walimu. Kwenye database waweza kuwa na table mbili yani ya students na walimu + administrators au ukawa na single table lakini ukaweka column ya kutofautisha hao users wako using techniques mbalimbali. Mimi nafanya Microsoft SQL na siyo MySQL japo utofauti ni kidogo sana. Front end nafanya asp/aspx chini ya Vb au C#.
 
Nakumbuka tumewahi wasiliana hapo kabla lakini tukapoteana kama sijakufananisha
 
Tatizo jamaa kakimbia Sasa ndo maana watu hawakupi msaada kuwa active mkuu hauko serious au umepata majibu

Kwa kuwa haujatoa maelezo niliyoomba fuata hi concept
Kwa upande wa wanafunzi
Lazima uwe na table yenye details zao zikiwa na number zao za usajili then
Lazima uwe na page yenye form kwa ajili ya kuimgiza data kwenye database table husika form inaweza kuwa na input Kama student name,number na password hapa nazungumzia page ya registration

Then hizo input field zipe name na type
Usiweke value hapo

Then
Tengeneza php script kwenye page nyingine ipe jina la kueleweka then include kwenye page yenye form zako juu kabisa kabla ya code za html itakuwa poa

Mwisho andika code za php zitakazo chukua data za mwanafunzi anaye register na kuziweka kwenye database table ya student

Ukimaliza
Tengeneza Tena page ya login weka form yenye input mbili yaan number ya student na password mwisho tumia button au input nyingine ya tatu weka type na name

Then
Tengeneza php script yenye kufanya comparison ya data zilizoko kwsnye database table ya student kwa details zolozopo kwenye login page

Ikiwa ataingiza zikafanana basi itaruhusu kuingia kwenye page mpya
Hapa utaweka session then header() kwa ajili ya kumredirect kwenye page ingine nadhani nimesolve tatizo lako

Kwasababu haukuja na code snippet na maelekezo nilokuomba komaa na code sasa
 
Hapa mkuu umenisaidia sana na nimeelewa I hope nitafanikisha! Sikua online kwa sababu tu cm ilikata moto na umeme haukuwepo sorry for that! Nashukuru umenipa ideal nn nikifanye na nimeona it's solution of my problem
 
Msaada nimetengeneza school system kwa kutumia php html na mysql sasa shida niliyonayo ni nawezaje kutengeneza login system ambayo itawafanya wanafunzi waliokwisha sajiliwa kujisajili kwenye account zao kwa kutumia zile zile registration number zao wao wacreate password tu! Na kuweza login
Fanya hivi mkuu:

Mwanafunzi akishasajiriwa anapewa id na temporary password,

Baadaye atatumia hizo credetials ku log in na kisha mfumo utam direct kumalizia usajili wake.

Baada ya hapo, mfumo uta update hizo taarifa na ata create paaword mpya!
 
Ok! But naona itakua mzunguko mkubwa huo mkuu!
 
Fanya hivi mkuu:

Mwanafunzi akishasajiriwa anapewa id na temporary password,

Baadaye atatumia hizo credetials ku log in na kisha mfumo utam direct kumalizia usajili wake.

Baada ya hapo, mfumo uta update hizo taarifa na ata create paaword mpya!
safi sana
 
Back
Top Bottom