Database auto increment

zigi 01

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
325
Reaction score
198
Hallow:
Nawezaje kutengeneza auto increment student registration number kwenye database kwa kutumia JavaScript au php na mysqli
Mfano 1st registered student awe na
T.UDOM/0001/2019
2nd student awe.
T.UDOM/0002/2019
T.UDOM/n/2019
So kuanzia hapo kwenye 0001 ndio auto increment but hizo nyingine zote zinabaki constant!!
 
kwanza hapo nikushauri hiyo registration number uivunje katika sehemu 3. na iwe katika fields 3 tofauti. Basically hiyo ya pili (Field ya ya pili) ndio namba ya mwanafunzi (0001) hizo zingine zitaonesha Kozi yake na mwaka wa masomo.

kila wakati utakapo register new student utachagua mwaka na kozi halafu namba itaselect studentNumber from database , then itaMoveToLast record then LastRecord +1.

wakati wa kusave utafanya concatenation kwa javaScript au PHP ili iende katika mfumo wa namba huu T.UDOM/0001/2019

 
Mara nyingi reg nuber za chuo hua hazijirudii, wakati wa mwanafunza anajisajili kwenye website yako ifanye iyo input ya reg kabla haija ingia kwenye Database system icheki kama kama namba ipo au haipo kama ipo website ilete error kama haipo i continue. reg number iwekama user name ya jf ukitumia jina lililopo kwenye kweye database yao inagoma. ukitumia hii njia ongezea hichi kitu
Code:
 LIKE = '%T.UDOM/0001/2019%'
ili kuepuka wawa fake ID, ita solve japo si sana kama unavyotaka
 
Sijui kama kuna namna ya kuincrement hiyo data type ambayo kwangu ni String.

Nadhani hapo inabidi uivunje wakati wa kucreate entry ili (uweze kuincrement hiyo ya kati)halafu kwenye kudisplay uziconcatinate.
 
Hapo nimekuelewa chifu! Natengeneza table moja yenye course name , year of study and number ambayo ndio itakua auto increment then hii table nai link kwenye table nyingine yenye majina ya wanafunzi napata moja iliyokaa vizuri!! Thanks for your contribution!!
 
poa mkuu
 
NGOJA NIPAMBANE KUPIGA CODE KWA NGUVU SANA
Nilikua nazembea tu kumbe bado nina safari ndefuuuuuuu sana hahhhahahaha
 
Dim FirstStr as string
Dim LastStr as string
Dim Num as integer=0
Dim NewStr as string
FirstStr="T.UDOM/000"
LastStr="/2019"
num+=1
NewStr=FirstStr+num+LastStr

badili kwenda kwa PHP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…