Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,570
Naomba kuuliza utumishi wanaweza kukuplace kama ulikuwa data base Katika nafasi nyingine inayoendana na kada yako, je ishawahi mtokea mtu na huchukua muda gani?? Utajuaje?
SidhaniNaomba kuuliza utumishi wanaweza kukuplace kama ulikuwa data base Katika nafasi nyingine inayoendana na kada yako, je ishawahi mtokea mtu na huchukua muda gani?? Utajuaje?