Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
- Thread starter
-
- #21
Dada Kupeng'e,
Ingekuwa Slaa ni mwizi, kama ulivyoonesha hapo juu, nadhania angekuwa mahakamani muda huu. Slaa anapelekewa document, haibi
Sasa ni wakati wa bunge wetu kutunga au kusadia Tanzania kuwa na DATA Protection Act
hii itasadia watu kutunza nyaraka za serikali na nyaraka za watu binafsi.
1. Wanasiasa kama Dr Slaa wataacha mchezo wao wa kuiba nyaraka za serikali
2. Magazeti ya Shigongo yataacha kuandika maisha ya watu binafsi bila ridhaa yao
3. Gazeti la uhuru na Habari leo litaacha kuandika mambo ya watu binafsi
4. Data Protection act itaongeza security kwenye social networks kama JF kuzuia watu kuleta kuiba nyaraka za serikali na kuleta hapa
My take
Bunge lijalo lijiandae kuja na Data Protection Act maana nchi nyingi zinatumia isipokuwa tanzania
EXAMPLE:Data Protection Act 1998
kama anapelekewa inabidi sheria imulinde mwenye nyaraka na kuwaadhibu wapelekaji na wapokeaji kama SLAA
Now Kenya wameishapeleka bill YA Data protectuion act
Check hapa[h=1]Kenya: Draft Data Protection Bill [/h]
naomba watu tujadili mada maana
hii ni act ambayo itasadia watu wengi huwezi jua na wewe unaweza kuwa mojawapo
Watu wamekuwa wakali na waoga wa kivuli chao. Ninachoamini hakuna mtu chini ya ardhi atakayezuia wimbi la mabadiliko. Hata sheria gani ije. La msingi ni kuamua moja kuacha upepo upite maana ukiuzuia bila hekima utasababisha madhara kama vile kimbunga na tufani bure.
Sasa ni wakati wa bunge wetu kutunga au kusadia Tanzania kuwa na DATA Protection Act
hii itasadia watu kutunza nyaraka za serikali na nyaraka za watu binafsi.
1. Wanasiasa kama Dr Slaa wataacha mchezo wao wa kuiba nyaraka za serikali
2. Magazeti ya Shigongo yataacha kuandika maisha ya watu binafsi bila ridhaa yao
3. Gazeti la uhuru na Habari leo litaacha kuandika mambo ya watu binafsi
4. Data Protection act itaongeza security kwenye social networks kama JF kuzuia watu kuleta kuiba nyaraka za serikali na kuleta hapa
My take
Bunge lijalo lijiandae kuja na Data Protection Act maana nchi nyingi zinatumia isipokuwa tanzania
EXAMPLE:Data Protection Act 1998
Naomba watu tujadili mada maana
Hii ni act ambayo itasadia watu wengi huwezi jua na wewe unaweza kuwa mojawapo

Give me a break! Unasema ni sasa! Mbona kuna hadi tume ya maadili ya viongozi na mpaka kesho kutwa waakina Mramba, Yona na wenzao bado wanatesa tu ati ni wawekezaji wa ndani! Acts don't solve problems, ........Sasa ni wakati wa bunge wetu kutunga au kusadia Tanzania kuwa na DATA Protection Act