Eliabu burton sanga
Member
- Dec 11, 2017
- 23
- 3
Wadau wang wa nguvu naomba mnisaidie kuna sim yang s3 nikiweka tigo ina onyesha 3g lakin haifanyi kazi nikiingia mtandaoni plzz
setting mkuu weka sawaWadau wang wa nguvu naomba mnisaidie kuna sim yang s3 nikiweka tigo ina onyesha 3g lakin haifanyi kazi nikiingia mtandaoni plzz
Poa poa ndugu yanguasante wakuuu nimefanikiwa![]()