Salam wanajamii, Nina degree ya economics and statistics na nina uzoefu sana kwenye upande ufatao;
1.Kutumia excel
2.Kuingiza data kwenyeSPSS na kuzifanyia analysis
3.Kuandika research
4.Kutumia vizuri computer eg. kutype kwa haraka,kufanya installations, na stationary activities zinazohusisha matumiz ya computer
5.Nina uwezo wa kufundisha masomo yafuatayo kwenye vyuo
a)Economics
b)Basic mathematics
c) Statistics and research studies
Kwa mawasiliano unaweza nitafuta kupitia email yangu hii
mwinyi88@hotmail.com Nipo hewani muda wote, ukinicheki nitakujibu on time.
Comment yenye manufaa kwa wanajamii..
Shukran