Data Entry Records

Data Entry Records

baruthyjr

Member
Joined
May 25, 2023
Posts
7
Reaction score
7
UPSCALE SHOP MIKOCHENI iliyopo DAR ES SALAAM inawatangazia nafasi ya kazi UHIFADHI WA KUMBUKUMBU ZA BIDHAA (DATA ENTRY RECORDS).

SIFA YA MWOMBAJI
* Awe amehitimu elimu ngazi ya DIPLOMA/DEGREE katika chuo kinachotambulika na serikali ama taasisi rasmi inayotambulika.

* Awe na ufahamu mzuri wa matumizi ya Computer na Programs (INFORMATION TECHNOLOGY/I.T) na ufahamu wa kujaza na kuhifadhi Data kwa njia ya mfumo wa computer.

* Awe na ujuzi angalau wa miaka miwili katika kazi husika.

* Jinsia ya kiume umri kuanzia miaka 20 hadi 40.

MAWASILIANO PIGA NAMBA

+255623533676
 
Mkuu certificate huitaji pia ninayo ya computer certificate of public administration and management system +computer applications) UDOM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom