muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,543
- 3,604
Kweli mkuu naendelea kusubiriSubiri waje mkuu
Mkuu iko kwenye hiyo field ya data?Wakuu habari za kazi.
Kuna short course ya data analysis and visualization inatolewa na UDSM kupitia college of ICT, kijitonyama, Tanzania data Lab.
Ningependa kujua kama kuna mtu aliyewahi ku attend course hii katika chuo hicho.
Je, value of money unaweza kuiona baada ya ku attend course hii?
Je, hawa watu wapo serious kiasi kwamba hutajuta kupoteza muda na pesa?
Course hii ni ya siku 5, 8hrs@day. Ningependa kujua ubora wao kabla sijapoteza muda na pesa zangu.
Asanteni waungwana.
Mkuu sipo katika field ya data ila ndiyo nataka niongeze soft skills za data ili kuwa tayari kwani naona kazi nyingi nzuri zinahitaji uelewa kidogo wa kucheza na data.Mkuu iko kwenye hiyo field ya data?
Uzuri wa hizo short courses uwe unazifanyia kazi ndio utaona advantages zake.Mkuu sipo katika field ya data ila ndiyo nataka niongeze soft skills za data ili kuwa tayari kwani naona kazi nyingi nzuri zinahitaji uelewa kidogo wa kucheza na data.
I am just building up a competitive advantage.
Kuna chaka lililonona naliwinda linahitaji uwe na knowledge kidogo ya data. Nilipoiona hii course nikaona ewalaa, ngoja niulizie wadau watanipa uzoefu wao kuhusu hii course.Uzuri wa hizo short courses uwe unazifanyia kazi ndio utaona advantages zake.
Nishawasiliana nao na hata kwenye website yao wamefafanua, ni nzuri sana ila nikasema nipate uzoefu kwa yeyote aliyefundishwa course hii nisijeuziwa mbuzi kwenye gunia. Make wengine huwa wanapamba ukienda huko unakuta watu wenyewe hawapo serious!Hapa utasubiri sana mkuu manake watu wengi na namba ni kushoto kushoto.. Nadhani uwasiliane nao wanaweza kupa course content uone kama itaadd value kwenye CV yako ama la.. au uende si karibu tuu kama uko dar?
Mkuu kama vp weka content module ya hiyo koz tuoneNishawasiliana nao na hata kwenye website yao wamefafanua, ni nzuri sana ila nikasema nipate uzoefu kwa yeyote aliyefundishwa course hii nisijeuziwa mbuzi kwenye gunia. Make wengine huwa wanapamba ukienda huko unakuta watu wenyewe hawapo serious!
Mkuu kama vp weka content module ya hiyo koz tuone
DATA ANALYSIS AND VISUALIZATION COURSE | dLabTuwekee website yao tafadhari nasi tuingie
Contents ziko poa mkuu fanya kweli ila ni vizuri uwe na uhakika wa application yakeKuna chaka lililonona naliwinda linahitaji uwe na knowledge kidogo ya data. Nilipoiona hii course nikaona ewalaa, ngoja niulizie wadau watanipa uzoefu wao kuhusu hii course.
Mkuu, na wewe unaihitaji?Ahsante kwa hili deal,
Sana tu,najipanga kwa May 2018 intakeMkuu, na wewe unaihitaji?