Serikali ya CCM inaendelea kufukuza wananchi kwa kuwa ni Eneo jingine tengefu kama la Loliondo / Ngorongoro.
Stephen Wasira mwaka 2014 akiwa waziri wa nchi Ofisi ya Rais Uratibu na Mahusiano (mahusiano ya jamii), alidai ni njia ya asili ya wanyama wa mbugani kwenda kunywa maji ya ziwa Victoria hivyo hakuna namna lazima wananchi wahame .
Kamati ya mkoa RCC (Regional Consultative Committee ) ilipitisha azimio hilo la kuacha njia hiyo ya asili ya mapito ya wanyama wa mbugani.
Njia hii ya wanyama kwenda ziwani Victoria ni sehemu ya Hifadhi kubwa ya wanyama ya Serengeti nchini Tanzania.
|
|
| Toka maktaba : Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Mheshimiwa Stephen Masato Wasira (Mb) Akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 na Mpango na Maendeleo wa Taifa 2014/15 |
3 AUGUST 2014
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
By Mugini Jacob
Musoma — MINISTER of State in the President's Office (Social Relations and Coordination) Mr Stephen Wasira is calling for the establishment of a Wildlife Management Area (WMA) in Bunda District of Mara Region.
The game controlled area is currently occupied by residents of Nyatwali, Serengeti and Tamau villages. "What is needed is to allow free movement of wild animals and with WMA, wild animals will be able to drink water from Lake Victoria, said Mr Wasira speaking to 'Sunday News' on Thursday shortly after attending a Mara Regional Consultative Committee (RCC) special session that discussed plans to make the game controlled area part of Serengeti National Park