DarProperty Tz
Senior Member
- Apr 24, 2011
- 168
- 29
DARPROPERTY MORTGAGE.
Darproperty Mortgage ni huduma ya uwakala wa mikopo inayotolewa na kampuni ya Darproperty Tanzania,huduma hii inampa muhitaji wa mkopo wa nyumba taarifa sahihi na ushauri kuhusu mikopo ya nyumba kutoka taasisi mbalimbali za fedha.
HUDUMA HII INAJUMUISHA:
Kuangalia uwezo wa mwombaji na kushauri mkopo sahihi uliopo sokoni.
Kuandaa na kufanya uthibitisho wa kisheria za uombaji
Kukupa mwongozo wa kisheria
Tutakuwa pamoja nawe miezi ishirini na nne ya mwanzo ya mkopo wako.