Kabisa mkuu. Ebu fikiria riwaya kama hii watu tulikuwa tunalala zetu usingizj hadi ndoto juu, tunapanga mipango yetu, tunatembea barabarani, vichochoroni usiku na mchana wala hata hugeuki nyuma kujua nani anakufuatilia, kumbe upande mwingine watu hawalali.Yap, Kuna mambo bora usijue, ukijua Yan maisha ya kawaida yanapoteza maana kabisa, Kuna some kind of ignorance inatupa furaha na matumaini ya kuishi wenyew wanaiita naivety, ni bora kuwa nayo hiyo kuliko reality na knowledge ambayo Ina destruct life appetite na enthusiasm kwa ujumla.
Kweli JF ni kisima cha maarifa. Ninazidi kupata elimu hapa.Kwenye maisha kuna wakati unalazimika mtoto mmoja kumpoteza. Ndio branch manager alikuwa kijana wa late CEO ila hapo kati alianza kunusa harufu za usalit +kifel mission.
Kumbuka old ceo ndo alimleta kwenye kampuni branch manager akiwa ndogo.
Hapa ilibidi acheze karata achukuwe mwenye faida. Akalazimika kumchukuwa yule muinjirist, mwenye stail yake mjini kwenye 6x6 "the death of cockroach " yaan stail elekezi kwenye biblia, aliekana mkono sio wake[emoji23]
Alimchukuwa kwa sababu 5 tu.
1,Ana ushawishi wa watu
2, he is too talkative
3: elimu anayo so anajua kubalance wasomi na wasokuwa na elimu.
4: anaweza kuwaaminisha watu kuwa 2×
2=5 na wote wajakubali .
5: aliogopa mr born in town kumchukuwa huyu kijana muinjiristi.
Umechora hekima ya juu sana sana hapa.Yap, Kuna mambo bora usijue, ukijua Yan maisha ya kawaida yanapoteza maana kabisa, Kuna some kind of ignorance inatupa furaha na matumaini ya kuishi wenyew wanaiita naivety, ni bora kuwa nayo hiyo kuliko reality na knowledge ambayo Ina destruct life appetite na enthusiasm kwa ujumla.
🤣🤣Yap, Kuna mambo bora usijue, ukijua Yan maisha ya kawaida yanapoteza maana kabisa, Kuna some kind of ignorance inatupa furaha na matumaini ya kuishi wenyew wanaiita naivety, ni bora kuwa nayo hiyo kuliko reality na knowledge ambayo Ina destruct life appetite na enthusiasm kwa ujumla.
Hapa kuna mkanganyiko kidogo.... hope you meant info za team mr born townUfuatiliaji huu ulifanyika kwa siku kadhaa non stop And they were able to gether a lot of info in a very short time! After that wakaanza kukompare info zao na info za team ya mr late CEO ambazo tayari zilikwisha kukusanywa!!
kula alipoenda kwenye msiba akapigwa maweDah hv huyo kijana WA Mr . New culture ambaye alimchallenge Sana Mr. New culture lkn Nia yake ikaishia kwenye graveyard NI Nani huyo?
Bonge la riwaya na ni riwaya bora ya muda wote hapa Jf , kuna siku nilisoma usiku mpk nikawa naogopa kwa jinsi matukio ya kijasusi yalivyopangwa.Nimejikuta nakumbuka simulizi ya penielaa😂😂
Ni kwl iko poa snBonge la riwaya na ni riwaya bora ya muda wote hapa Jf , kuna siku nilisoma usiku mpk nikawa naogopa kwa jinsi matukio ya kijasusi yalivyopangwa.
2 0 2 2
Huyo Nyerere bado aiiuawa. Siru ni nyingi. Ishi tu lakini hakuna wema duniani.Kama hii ni fictions kwa mpangilio wa matukio, muda, watu na uhalisia basi yoga si mtu wa kawaida.
All in all hii hadithi itakuja kutoa funzo kuwa ktk maisha usifanye jambo bila kupima matokeo yake kwako na kizazi chako. Mwl Nyerere hayupo lakini watoto hadi wajukuu zake wanaishi kwa amani kwa kujitafutia riziki kama Watanzania wengine wakibakia na heshima kuu ndani na nje.
Tuwaombee sana hekima viongozi wetu, hizi manipulations always hazina mwisho mzuri! Kuna levels ukifika shukuru Mungu maana ni assurance ya wewe na kizazi chako kuishi VIP life. No needs za too much wealth hadi una cross the line.
Yule mama mleta wachumba zetu kwa kutumia kimbunga upepo alitakiwa awe kwenye kampuni maana kampuni na nyumba za yesu ni mapacha, hawa watu wenye nyumba za masiha wana wafuasi wengi ukitaka kuongoza vizuri kampuni lazima mle wote sahani moja.na hata ishu ya uvoko aliwatesaaa sijui walimhonga kumshona mdomo.
kuna yule late mama bishop mwenye mauwa waridi kichwani mengi ilikuwaje akawekwa kwenye kampuni akiwa km spesho chairs. halafu hata hakuinjoi akatwaliwa.
Ndo maana hata watu wengine hutumia sana hekima na tahadhari pale utoapo maoni kwani kuna wengine wana kazi maalum ya kuketi hata hapa JF na kung'amua nani anaandika.Kama hii ni fictions kwa mpangilio wa matukio, muda, watu na uhalisia basi yoga si mtu wa kawaida.
All in all hii hadithi itakuja kutoa funzo kuwa ktk maisha usifanye jambo bila kupima matokeo yake kwako na kizazi chako. Mwl Nyerere hayupo lakini watoto hadi wajukuu zake wanaishi kwa amani kwa kujitafutia riziki kama Watanzania wengine wakibakia na heshima kuu ndani na nje.
Tuwaombee sana hekima viongozi wetu, hizi manipulations always hazina mwisho mzuri! Kuna levels ukifika shukuru Mungu maana ni assurance ya wewe na kizazi chako kuishi VIP life. No needs za too much wealth hadi una cross the line.
Swala la kutawala milele walikuw wanamsingizia ilikuwa ni njama yule jamaa mwenye tabasamu zake.vijana wake wa habari ndo walisambaza hiyo ishu ili raia wamchukie late CEOLeo nimesikia aliye wai kuwa rais wa burkinafaso bwan bless compaure jana alihukumiwa maisha gerezani kwa tuhuma za kumuua aliye kuwa rais wa taifa lile ambaye pia aliwahi kufika Tanzania bwan Thomas Sankara
Bless na washirika wake kumi na mbili wote wamehukumiwa kunyongwa
Ctaki hii kitu ije itokee tz tutagawanyika vipande vipande
Ingawa huwa wanasema jinai huwa haifi
R.i.p CEO !Sasa HV new CEO anajaribu kuzika legacy yako kwa namna yoyote ile inavyowezekana pmj na mamb yako late CEO ya kuogofya ila pia Kuna mazuri mengi umeyafanya kosa lako kubwa pia baya kwangu ni kutaka kugawa kampuni hii kwa minajili ya ukanda na ukabila na pia kusuka mipango ya kutawala milele haya Ni mabaya Sanaa late ulitaka kufanya
Lakini kwa matukio yanoendelea kwa sasa hii DS saa hii imekuwa "too corrupted" yaingilika kirahisi.Deep state au inner circle ndio system au mfumo wenye watu ambao wako behind the scene, wanaendesha nchi kutokea chimbo kabisa na Wana control na manipulation ya mwenendo wote wa mustakabali wa taifa, ni vigumu sana kuwajua hata Viongoz wakubwa wengine hawanaga ufahamu na Hawa inner circle au deep state
Miraji anaingia wapi? Kwa huyu Mwalimu au huyo aliyefariki?old ceo mke wake wa kwanza (marehemu) alizaa nae watoto wawili.kijana naibu na dr wa meno. wakaachana nadhani miaka ya 90 hv.ndo akaolewa mwalimu.nae ana watoto 5 na old ceo.
Mwenyekiti wa chama pinzaniWakuu hii code "mr new culture" imenitoa knock out msaada tafadhali [emoji848]